#diamondplatnumz#contentcreator#drannoint#
Nimetumia huu wimbo kuwakumbusha vijana na wasanii wote kuyakumbuka maadili yetu na mipaka yetu, Katika njia mbali mbali tunazotumia ili kujipatia kipato , Ni muhimu kujua Dunia niya Mungu na Mungu ana mipaka yake ,Si vyema kufanya mambo kana kwamba hakuna Mungu ,
Kujisahau kunaongeza vifoo kwa vijana wengi wadogo na majanga yanayotokea kila siku ,Na kuhatarisha kizazi chetu cha kesho 🙏
2,Kupitia wimbo nimemkumbusha msanii namba moja wa Bongo freva East Afrika na mataifa meengi duniani Diamond Planumz ,Akumbuke yeye ndo kio kikubwa zaidi cha jamii yetu ya sasa naya kesho, Kuimba nyimbo zenye manufaa kwake tu bila kujali jamii inayo mzunguka,Ni hatari kwa taifa la leo na kesho.
Mimi Kama kijana nimeona nitumie sanaa yangu pia kuwambusha vijana wenzangu wasije kusema hawakusikia, Maana kila mtu atalipwa sawa na matendo yake ,
Mtunzi na mwimbaji Dr Annoint Amani 👇
Whatsapp +255755099942 +255767240181.
Tiktok,Fb Insta,Dr annoint Amani.)
Video, directed by Mshomi & Mahela ( mbasha studio )
Audio ,Pamoja Record & A.E..A Tones studio.
East Afrika Tanzania 🇹🇿 )

